DIWANI wa Viti Maalumu Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Josephine Gunda amependekeza vituo vya elimu ya Watu wazima kuanzishwa ngazi ya Vijijini Ili wenye uhitaji wanufaike na fursa hiyo. Gunda ametoa ...
Ripoti hiyo inasema licha ya usitishwaji mapigano uliofikiwa mwanzoni mwa mwezi Julai kati ya DRC na jirani yake Rwanda chini ya usimamizi wa Angola, hali inaendelea kuwa mbaya zaidi robo hii ya ...
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na uhamiaji, IOM, limesema watu 45 wamekufa na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya bahari ya ...
Rigathi Gachagua has stated that he will not be intimidated into relinquishing his position as the country's deputy president The deputy president further challenged Rift Valley MPs to back his ...
On Sunday, September 29, Deputy President Rigathi Gachagua said he has never blackmailed President William Ruto Gachagua admitted to pressuring Ruto to appoint more people from the Mt Kenya region, ...
Hii ni pamoja na kuoanisha usambazaji wa misaada, kufanya tathmini ya pamoja, na kutambua mahitaji ya dharura kwa watu walioathirika.", alisema Riza, akiwa nchini Lebanon. Wizara ya Afya ya ...
Mbeya. Watu 12 wamefariki dunia na wengine 23 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Septemba 27 wilayani Mbeya mkoani hapa. Ajali hiyo imetokea eneo la Jojo Kata ya Ilembo wilayani humo, ...
Kwa kawaida, Jaji wa Wilaya ya Marekani Gary J Brown angeagiza mtu huyo kushikiliwa katika jela ya serikali ya eneo hilo ili kutumikia kifungo chake kwa ulaghai wa kodi. Lakini jambo moja ...
Lebanon imesema watu watatu wameuliwa kufuatia shambulizi la Israel katika kijiji cha Maaysra katika wilaya ya Keserwan kaskazini mwa mji mkuu Beirut. Shirika la habari la serikali ya Lebanon ...
Picha na Rajabu Athumani Tanga. Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni ...
The next day, the strange disturbances continue when whey see an apparition of a pocong (a ghost wrapped in a death shroud). Even when they return home, they continue to be terrorized by the pocong.
Mashambulizi ya mara kwa mara ya Urusi dhidi ya miundombinu ya nishati na kukatwa kwa umeme nchini Ukraine huenda yakang'oa watu wengine 500,000 kwenda nje ya nchi kabla ya msimu wa baridi unaokuja, ...